Karibu katika mkusanyiko wa misemo ya Zuchu kutoka kwa nyimbo zake. Maneno haya yamenyumbuliwa kutoka katika mashairi yake, yakikusudia kukupa hekima na burudani.
Maneno ya Mapenzi: Misemo ya Zuchu Kutoka kwa Nyimbo
- Mapenzi vita we ndo gadi bebi utanitetea.
- Unishikapo ndipo hapo nafarijika.
- Mambo yako mahaba yako ndo maana natononoka wee.
- Kwa penzi yakapona, rabii amenipa nusura.
- Ukipenda unibimbe unikumbatie.
- Kwa mapenzi moto moto, my baby keep it burning.
- Mambo tunayopeana, tunayopeana, kumbe mapenzi ndo hivi.
- Penzi ka’eka bando, kifurushi, na hatutomaliza.
- Ada kinachotakasa nafsi huba si sabunii.
- Ada kama moyo jiko basi we ndo wangu kuni, mapenzi soka nipe pasi ntie nyavuni.
- Roho yanidadarika kashantoka shetwani, moyo umekunja ndita nakumiss jamani.
- Raha kupendwa raha, raha jamani raha.
Misemo ya Maisha: Misemo ya Zuchu Kutoka kwa Nyimbo
- Akili itazunguka zunguka ukiniacha mwenzako.
- Mana nitaumbuka yote kwaajili yako hee.
- Hunywi maji yakapita me nkiguna ushafika.
- Ushauri hutaki kabisa eti uniache nna visa.
- Vya vifarauni na musa vingi.
- Nzi kidonda nimefia wahenga walisema.
- Maradhi yaweza yasiwe na dawa.
- Jeuri sina tena.
- Ngumu safari nlifanya njiani ushukie eh eh.
- Ukakosa seat mmiliki gari lako mwenyewe eh eh.
- Kweli mbaya halisi na wema hakosi eeeh eh.
- Mali yake ishaliwa, aha apunguze kampeni, jimbo lishachukuliwa.
- Alidhani ameniadhiri, alidhani amenikomoa, Mungu akanipa msitiri, alonipoza nikapoa.
Misemo ya Kutia Moyo: Misemo ya Zuchu Kutoka kwa Nyimbo
- Usiruhusu wadangaji wakaanza kukuzoea.
- Unawajua mafisadi watakata cha kunisemea.
- Jeuri sina tena.
- Washushuke wanyamaze nikuna nibembeleze.
- Usinipepee nipulize watuone washituke.
- Roho zao ziwaume mi nipike ule chote, unenepe upendeze.
- Nitambulishe niringe niwavimbie.
- Nitambulishe nitambe niwavimbie.
- Hata watu watuone wakahadithie.
- Hata Lizer atuone akahadithie.
- Usije ukaugua mana.
- Sikika habari etii kuna mtu twamkera oooh mbona akae tayari.
Maneno ya Kupost WhatsApp Kutoka kwa Nyimbo za Zuchu
- Oh mai Gaado am crazy for you.
- Tena uzikumbuke ahadi zile ulizonigea.
- Jina gani hujaniita baby?
- Nikilala naota kama unaniita.
- Unishikapo ndipo hapo nafarijika.
- Nami simpii mi wala, akitaka nampa.
- Nitambulishe niringe niwavimbie.
- Kwa mapenzi moto moto, my baby keep it burning.
- Raha kupendwa raha, raha jamani raha.
- Na hatuachanii, na litawachoma sana.
- Mimi na wewe hadi milele komesha wachokozi.
- Ngumu safari nlifanya njiani ushukie eh eh.