Kuna msichana unayependa na huna meseji tamu za kumtumia? Usijali, kwa sababu katika makala haya tumekusanya SMS za mapenzi za kumtumia huyo msichana. Hakika hizi SMS zitamfanya atabasamu na kukufikiria kila siku.
SMS za mapenzi kwa msichana unayempenda
Kila siku nikiwa nawe nikama ni ndoto ambazo zimetimia.
Unafanya moyo wangu upige kwa furaha sana.
Nashukuru sana kukuwa nawe katika maisha yangu. Wewe ni kila kitu kwangu.
Tabasamu lako ni kitu muhimu sana kwa siku yangu.
Kukupenda ni jambo muhimu sana nimewahi kulifanya.
Kukuwa tu kwa maisha yako unanifanya nikamilike kama mtu.
Siwezi fikiria maisha bila wewe, unanikamilisha.
Katika siku ya mawingu mazito wewe ni mwanga wangu wa jua.
Ninakupenda tena na tena kila wakati ninapokuona.
Unakuwa jambo la kwanza kufikiria kabla ya kuamka na jambo la mwisho kabla ya kulala.
Ninathamini kila wakati ninapokuwa nawe.
Ninaendelea kukupenda kila siku ya maisha yangu.
Wewe ni sababu yangu ya kuamini katika upendo.
Ukinitazama tu unafanya moyo wangu kuruka mpigo wake.

Niko na bahati sana kuwa nawe kama mpenzi.
Wewe si mpenzi wangu tu, bali rafiki wa ndani sana.
Unaleta raha sana kwa maisha yangu.
Ninapenda sana vile tunapata raha tukiwa pamoja.
Unafanya kila kitu kwa maishaa yangu kuwa rahisi.
Ninashukuru sana kwa kila wakati tunapokuwa pamoja.
Wewe ni mtu wa ajabu sana nimewahi kukutana naye.
Ninapenda sana vile unanifanya nijihisi, ninaweza fanya chochote kwa sababu yako.
Wewe ni penzi la maisha yangu, siwezi kukubadilisha kwa chochote.
Siwezi kungoja kuona chenye maisha yametupangia siku zijazo.
Unafanya moyo wangu ujaa na furaha.
Kuwa nawe ni jambo bora sana ambalo nataka.
Napenda sana vile tunaweza ongea kuhusu chochote na kila kitu.
Unanifanya nicheke kuliko mtu yoyote yule, nakupenda.
Nashukuru kwa upendo na msaada wako.
Wewe ni kitu bora zaidi ambacho kimewahi nitokea kwa maisha yangu.
Napenda vile tunaelewana hata bila kusema neno lolote.
Wewe ni mtu ninayependa sana kuwa naye.
Ninapenda sana vile unanifanya nijihisi kuwa napendwa.
Wewe ni mtu ambaye ningetaka kuwa naye daima kwa maisha yangu.
Ninakupenda kuliko maneno yanavyoweza kueleza.
Wewe ni sababu ya maisha yangu kuwa mazuri.
Niko na fahari sana kukuita mpenzi wangu.
Wewe ni mwanga kwa maisha yangu.
Ninapenda vile unanifanya nijihisi kuwa wa kipekee.
Wewe ni kila kitu kwangu. Ninakupenda sana.
Siwezi ongoja kuunda kumbukumbu zaidi na wewe.

Wewe ni jamboo bora sana kuwahi kutokea kwa maisha yangu.
Napenda vile unafanya nyakati zangu za kawaida kuwa za kipekee.
Wewe ni mtu ambaye ninataka kuzeeka naye.
Unafanya maisha yangu kuwa na mwanga.
Nakupenda kwa sababu unajua vile unanifanya kutabasamu.
Wewe ni ndoto yangu ambayo imetimia.
Napenda vile unanipenda.
Wewe ni tamaa ya moyo wangu, niko na bahati kuwa nawe.
Nakupenda kuliko kila kitu, na nitaendelea kukupenda hivo.
Kila wakati nikiwa nawe ni kama ndoto ambayo sitaki kuacha kuota. Asante kwa kuwa mpenzi wangu.
Kwa muda ambao naacha kufikiria mambo mengine na kuwaza tu juu yako.
Nataka kuchukua muda mchache tu kukueleza ile wewe ni mtu muhimu sana kwa maisha yangu. Wewe ni mwamba na ngome yangu ya maisha.
Wakati mwingine napotea katika mawazo kukufikiria, natabasamu sana nikijua wewe ni wangu.
Kila siku na wewe ni tukio mpya, nashukuru sana kuwa nawe katika safari hii.