Katika makala haya, tunakuletea misemo bora kutoka katika nyimbo za Professor Jay.
Misemo ya Mapenzi Kutoka kwa Nyimbo za Professor Jay
Hii ni misemo inayogusa hisia za mapenzi, furaha na changamoto zake kama inavyoonekana katika nyimbo za Professor Jay:
- “Nimeamini, unataka uwe na mimi.”
- “Nyoyo ziko pamoja, mpaka siku ya kifo, uanze wewe au mimi.”
- “Wee pekee katika hii dunia, naomba tusahau mikasa tuliopitia.”
- “Tulipanda milima mabonde na hali ngumu, ukanikumbatia ili mapenzi yadumu.”
- “Nakuthamini jeeze, tuko pamoja jeede.”
- “Kuwa na wewe leo mi kwangu ni kichocheo.”
- “Hakika wewe ni wangu wa kufa na kuzikana.”
- “Mapenzi yetu ya kweli wanayapinga sana.”
Misemo ya Maisha Kutoka kwa Nyimbo za Professor Jay
Hii ni misemo inayozungumzia mambo ya maisha, changamoto na mafunzo tunayopata katika maisha yetu:
- “Maisha ni safari isiyokuwa na likizo.”
- “Usimdharau mtu kwa kua yeye yuko simple, kumbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong.”
- “Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena, wamebaki na viulizo.”
- “Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo.”
- “Tusaidiane kwenye raha na shida.”
- “Leo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka.”
- “Kama leo umepewa basi mushukuru mumba, kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba.”
- “Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba.”
Misemo ya Kutia Moyo Kutoka kwa Nyimbo za Professor Jay
Hii ni misemo inayotupa nguvu na kututia moyo katika kukabiliana na changamoto za maisha:
- “Never underestimate, and learn to appreciate, no matter situation, persevere and tolerate.”
- “Daima mtaji wangu ni nguvu zangu mwenyewe, simwamini mtu kamwe najiamini mi mwenyewe.”
- “Bado tunapambana kibarua kisiote nyasi.”
- “Mnakesha mnishushe mwenyezi ananipaisha.”
- “Ah! unayehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde, kwenye hii vita milele nami nishike mkono nishinde.”
- “Mungu walaze pema waliyosemwa wakajiua, ingawa wote tunapita naamini maisha ni hatua.”
- “Please nipe ujasiri mpaka siku ukinichukua, wape nguvu wale wote waliokata tamaa.”
- “Daima sitawadhuru wale wote walioniasi.”
Maneno ya Kupost WhatsApp Kutoka kwa Nyimbo za Professor Jay
Hii ni misemo ambayo unaweza kuitumia kama status katika WhatsApp yako, kutoka katika nyimbo za Professor Jay:
- “Unavyodhani Ndivyo sivyo.”
- “Maisha ni safari isiyokuwa na likizo.”
- “Usimsahaul mtu mwenye matatizo.”
- “Usimdharau mwenye njaa kwakua we umeshiba.”
- “Dunia hivyo ilivio kuna raha na matatizo.”
- “Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba.”
- “Maisha kama kamari bora utumie ubongo.”
- “Daima mtaji wangu ni nguvu zangu mwenyewe.”
- “Bado tunapambana kibarua kisiote nyasi.”
- “Unayehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde.”