Mtu akiwa kwa mapenzi huhisi raha tele sana. Kadri mnapokuwa kwa mapenzi mambo kadhaa hutokea kama vile kugombana, wivu, kutekeleza majukumu au mpenzi wako kudanganya. Inafika mahali unajuta sana kuingia katika uhusiano na huyo mpenzi wako, nyakati nyingine unataguta maneno ya kumtumia na umweleze jinsi yenye amekuumiza. Katika nakala hii tumekupa baadhi ya maneno ya kueleza jinsi ulivyoumizika katika pendo lako.
Maneno ya mapenzi ya kuumiza moyo
Nilikupenda sana na zaidi ya maneno niliyoweza kusema, lakini bado ukaona bora unyamaze.
Mwishowe, nimedundua kuwa shida haikuwa katika umbali wetu wa mapenzi, bali ni wewe ulijenga kuta katika moyo wako.
Wewe ndio ulikuwa chanzo cha mimi kuamini katika penzi, lakini sasa naona kuwa umekuwa kumbukumbu tu.
Unauma si kwa kuwa nimekupoteza, lakini kwa kugundua kuwa hukutaka kuwa nami.
Nilikupa moyo wangu wote, lakini ukanipa sababu za kutonipenda.
Niliona nikiwa nawe milele, lakini wewe ukaona ukae nami kwa muda.
Ulikuwa ukurasa ambao sikutaka kuacha kusoma, lakini ukawa mwisho ambao siukuutarajia.
Kukupenda nikama nilikuwa nashika waridi mkononi, ambalo lilinyauka na kufifia.
Uliniahidi mwangaza maishani mwangu, lakini umeniacha gizani.
Nilidhani ulikuwa makao yangu lakini nimegungua kuwa ulikuwa makazi ya muda.
Kila wimbo wa mapenzi unanikumbusha wakati tuliokuwa pamoja, lakini sasa hizo nyimbo ni kama majeraha yasiyopona.
Ulikuwa kila kitu kwangu, lakini sasa umekuwa nothing kwangu.
Ulikuwa kama jua la asubuhi kwangu, lakini sasa umekuwa kama jua la kiangazi.

Ninaendelea kuwa na kumbulumbu za nyakati zetu pamoja, nikitafakari mahali nilipokosea.
Ulikuwa mpendwa wangu wa ajabu na sikuwa fikiria tutaachana.
Mapenzi tuliokuwa nayo yalikuwa ya ajabu, lakini ukaona kuwa hayatoshi.
Nilikuwa na ndoto zilizojengwa juu ya mapenzi yetu, lakini sasa umeniachia magofu.
Niijipoteza wakati nilipokupenda, sahii najaribu kujitafuta mwenyewe.
Wewe ndio ulisema tutakuwa pamoja milele, lakini sasa mimi ndio nimepaki kuhesabu siku.
Ulikuwa umeushikilia moyo wangu mkononi mwako na ukaacha ukateleza mkononi mwako.
Nilidhani tulikuwa katika hadithi ya mapenzi isiyo na mwisho, lakini ikafika mahali ukafunga kitabu.
Mapenzi yetu yalikuwa kama moto mkali, lakini ukangeuka ukawa upepo na ukasima huo moto.
Ulikuwa pigo langu la moyo, lakini sasa sina hisia nawe kabisa.
Nilikuwa kila kitu kwako, lakini ni kama ilikuwa kipindi tu cha kupita.
Nilidhani mimi ni makazi yako, lakini ni kama umepata makao kwingine.
Upendo wetu ulikuwa ukuwe wa milele, lakini ukakata tamaaa njiani.
Ulienda na ukaniacha gizani. Ni kama ulienda na nuru zote kutoka kwangu.
Vile nilikupenda hata maneno hayatoshi kueleza. Ulinishangaza vile ulipoamua kuniacha.
Nilikuwa kama muziki taratibu na tulivu na wewe ukawa kama mdundo ulioharibu utulivu wa muziki.
Nilishikilia ahadi zako sana, lakini zikageuka kuwa kama nashikilia upepo.
Ulinifunza jinsi ya kupenda, lakini sasa umenifunza jinsi ya kuumiza.
Nilifikiria kuwa hatuwezi tengana lakini sasa nimejua kuwa hiyo ilikuwa ndoto ya alinacha.
Nilikupenda bila masharti lakini ukaniacha bila hata kuangalia nyuma.
Nilikupea moyo wangu lakini ukauwacha ukiwa umevunjika vipande vipande.
Ulikuwa ndoto nzuri niliyokuwa naota kila siku lakini sasa umekuwa jinamizi.

Ulikuwa kitabu kizima cha mapenzi kwa maisha yangu lakini mimi kwako nilikuwa tu kama ukurasa.
Nakungoja kila siku unirudie lakini ukweli wa mambo najua kuwa huwezi.
Nilikupenda kwa kila sababu, lakini huniwacha na maswali mengi.
Ulikuwa nuru maishani mwangu, sasa niko gizani kwa kuwa umeenda.
Penzi letu lilikuwa kama bustani lakini ukwacha kulimwangilia maji.
Umekuwa jambo bora kuwahi kunitokea, pia jambo ngumu kuwajilia kwa maisha yangu.
Kwa macho yako niliona mapenzi daima kumbe ni kipindi kilichokuwa kinapita.
Nilikushikilia sana ili uwe wangu daima, lakini hukuwa na nia ya kupigania penzi letu.
Ulikuwa kila kitu kwangu lakini ni kama zikutosha kwako.
Umekuwa mpenzi ambaye sitasahau na pia umenipa maumivu ambaye sitashau kamwe.
Uliniahidi kila kitu lakini ahadi hizo zimengeuka na kuwa maumivu.
Nilikupenda na moyo wangu wote lakini ukamua kuniacha tu.
Ulikuwa kama nanga kwangu lakini sahii nazama bila usaidizi.
Nilimiani katika penzi letu, lakini ukaamini kuondoka.
Ulikuwa wangu wa maisha, lakini ukawa na wako wa maisha.