Tunakuletea misemo hii ili kukupa maneno yenye nguvu na maana kutoka kwa Nandy.
Misemo ya Mapenzi kutoka kwa Nyimbo za Nandy
- Niko tuli baby, kama maji kwa mtungi.
- Nyonga buli baby, nivute niiishi nibaki kishungi.
- Zuri baby, nibandike nigande ka gundi.
- Maakuli baby, nilishe nishibe kitumbo ndindi.
- Unanikoleza, unanichombeza, unanilegeza ai wee.
- Ukianzaga ndani unayaweza kitandani.
- Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee.
- Nakupenda, nakuwaza, forever you are, my boo boo.
- Unipende nikupende we.
- Nimekuzoea, nimekuzoea, nime nime nime nimekuzoea.
- Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea.
- Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena.
- Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea.
- Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena.
- Nipo katikati nazungukwa na upendo, sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo.
- Penzi kidani nitunzie.
- Nakesha popo, kulinda vidanga visiibie.
- Nadeka mwali, ka mtoto, nidekeze mie, baikoko.
- Mi wa halali, chanda chema mie.
- Wanichanganya changanya, changanya wanikosha roho wouwo.
- Mapenzi ya moyoni mwangu joto baridi, yanapeta kwenye hali kaidi.
- Oh my, ona ukinigusa navyo feel shy, wa utamu na mizuka ya mapenzi haya.
- Oh my, tena usijaribu mi nita-die, kunichezea kuniacha hio kitu mbaya.
- See I got all the eyes for you, and I wanna put my hands on you.
- Me I cannot do anything bad to you, but I can do anything bad for you.
- Nishakupa weh one number, weh one number.
- Only you I need you right now.
- Nibebe kwenye tenga, mana mapenzi yako yana nielemea.
- Penzi limesimama we kidedea, mpaka raha unavyo nipea.
- Basi nifanye kitu na boxy, usiku nipe shoti, ama nishike magoti.
- Raha… raha tupu kupendana na wewe raha tupu.
- Mi mwenzako nakupenda nafurahi.
- Nivike Pete ya roho isiyotoka.
- Ubavu wangu mwenyewe, ukifa nizikwe na wewe, nikifa uzikwe na mie.
- Raha… raha tupu kupendana na wewe raha tupu.
Misemo ya Maisha kutoka kwa Nyimbo za Nandy
- Usije moto kuzima, mwenzako nishawasha ah leo leo.
- Ulienipa maumivu me kama nyang’au, na tena maumivu dawa ninywe vidonge.
- Kwa marafiki mashosti ukannidharau, ukanitia uvivu stress niwe mnyonge.
- Leo sina thamani ndo maana, unawafata milupo oh baba.
- Nitapona mdogo mdogo nitapona.
- Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi.
- Hata zawadi nikikuretea ausemi asante.
- Tena na share hata bila kujua wewe uridhiki kwa nini.
- Na wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze.
- Kwangu moyo we unauchanganya.
- Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba we.
- Kitu gani kwako mi sijafanya.
- Ama kuna mtu mnapendana sana?
- Leo sina thamani ndo maana, unawafata masista du oh baba.
- Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa.
- Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa.
- Bila wee me siwezi.
- Unanifanya mi nalewa sana, haipiti siku bila kugombana.
- Mapenzi yako ya kibabe sana, malumbano ya mapenzi siyawezi.
- Kuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga ngana, mapenzi gani haya kutesana.
- Wasi wasi wa mapenzi.
- Ivi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu.
- Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi.
- Kumbe kuachwa inaumaga ivii.
- Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka, kumbe kuachwa ina umaga ivii.
- Umeniumbua bora niseme, kiapo nilicho kula bora nikiteme.
- Mapenzi shikamo sirudii tena.
- Umepatwa na nini si useme, kinachokufanya we uniteme, mapenzi shikamo sirudiii tena.
- Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa.
- Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa.
- Bila wee me siwezi.
- Kaniweza mimi mi kwake muoga kunguru nifanyeje ajue.
- Ntakufa mimi baby roho yangu inusuru nifanyeje ujue.
- Mwenzenu nampenda nampenda sana akiniacha mnizike mje mnizike.
- Ajue mapema mapema sana akiniacha mnizike.
- Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele, pale mambo yanapoonekana hayaendi.
- Ni ajabu sana namna moyo unahangaika.
- Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba.
- Japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda na hofu.
- Nakumbuka wana wa Israel katika bahari ya SHAMU.
- Yana nitoka macho, nikikuona kwa mbali, nakosa usingizi, usipokuwepo silali.
- Nafuata ulichonacho, sijafuata salary, utanifanya chizie kama utakwenda mbali.
- Maana napokuona weee napona napona napona.
- Nikipata penzi lako wewe napona napona ooh napona.
Misemo ya Kutia Moyo kutoka kwa Nyimbo za Nandy
- Nitapona mdogo mdogo nitapona.
- Nikumbushe wema wako nisije laumu.
- Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu.
- Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu.
- Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi.
- Yesu nakutazama ninakuamini wewe, fungua maisha yangu, nisaidie nisilalamike.
- Mbele zako, katika hali zote nijue upo, umesema hutaniacha eeh Yahweh.
- Na tena siku hizi nanenepa nanawiri, yamenoga mapenzi na yameshamiri.
- Nyumbani kumenoga hunipoza mwili.
- Kanipa sikio, ananisikiliza, malumbano ndani hana.
- Nimepitisha fagio na hawezi kuniliza, mashindano ndani hana.
Nandy Maneno ya WhatsApp Status Kutoka kwa Nyimbo
- Niko tuli baby, kama maji kwa mtungi.
- Nakupenda, nakuwaza, forever you are, my boo boo.
- Nimekuzoea, nimekuzoea, nime nime nime nimekuzoea.
- Wanichanganya changanya, changanya wanikosha roho wouwo.
- Usije moto kuzima, mwenzako nishawasha ah leo leo.
- Nitapona mdogo mdogo nitapona.
- Bila wee me siwezi.
- Mwenzenu nampenda nampenda sana akiniacha mnizike mje mnizike.
- Raha… raha tupu kupendana na wewe raha tupu.
- Nikumbushe wema wako nisije laumu.
- Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi.
- Yesu nakutazama ninakuamini wewe.