Jux Maneno Matamu kutoka kwa Nyimbo Zake

Maneno haya yamenukuliwa moja kwa moja kutoka katika nyimbo za Jux.

Maneno ya Mapenzi kutoka kwa Nyimbo za Jux

  1. Kuhusu haya mapenzi, nataka kuvaeleza.
  2. Unaemwita your baby, kumbe nae ana baby.
  3. Ooh unaemwona kipenzi, ni mshenzi hakupendi.
  4. Sifa kibao nishasema, yote sababu nimezama.
  5. Uzuri wako ndo unazidi nipa homa.
  6. Wajua kwako mi mtoto tu, na jina lako nitachora tattoo.
  7. Ushanifit changu kiatu, wajua baby vile I love you.
  8. Ukamilishe uzima wangu, ukamilishe na nyumba yangu.
  9. Ukawe amani ya moyo wangu milele.
  10. We jela yangu nimejifunga mwenyewe.
  11. Mwenzako nimenogewa, hoi tahabani.
  12. Tena nakusihi, ulilinde penzi.
  13. Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe maswali.
  14. Baby nipe taratibu, huo utamu asali.
  15. Kwako nitangangana tuu, sababu I love you.
  16. Mimi na wewe, tungejuana zamani.
  17. Upendo wako umenifaa, uwepo wako umetawala.
  18. Hakuna anayezidi kwako mama, nguvu ya mapenzi yako balaa.

Misemo ya Maisha kutoka kwa Nyimbo za Jux

  1. Bora ni Enjoy, maisha mafupi ni simple.
  2. Yanini niteseke roho, jiunge nami upoze koo.
  3. Kama kupenda bora nimpende mama yangu.
  4. Kama kupendwa mimi nitajipenda peke yangu.
  5. Kilichoniponza ufalaa, kujiona simba kumbe swalaaa.
  6. Kazama kwenye penzi uchwalaaa, badala ya kusaka miamalaaa.
  7. Toka ni date pesa, sa napendeza na tena naenjoy.
  8. Ooooh account inasoma, na kamwili kananona.
  9. Nasema bora ni Enjoy, maisha mafupi ni simple.
  10. Napenda nikilewa, nipande juu va meza.
  11. Hatuagizwi na maboss, sisi wenyewe maboss.
  12. Wanatuombea mikosi, tunalindwa na sir God pekee.
  13. Wanasema roho mbaya kweli ninayo, nafanya makusudi kushinda hizo chuki zao.
  14. Na hainipi shida riziki hawatoi wao.
  15. Huwezi pangua mipango ya Mungu.
  16. Na hao marafiki wanafiki tunaishi nao.
  17. Wanachuki kama labda tunaishi kwao.
  18. Wanashindwa kurithi nyumba na mali za baba zao, cha kushangaza wanarithi tabia za dada zao.
  19. Night ikue special surround sound movie loud.
  20. My mission is to always stay true, live to see my dreams come true with you.

Misemo ya Kutia Moyo kutoka kwa Nyimbo za Jux

  1. Bora ni enjoy, maisha mafupi ni simple. Yanini niteseke roho.
  2. Bora nimpende mama yangu, kama kupenda. Nitajipenda peke yangu, kama kupendwa.
  3. Toka ni date pesa, sa napendeza na tena naenjoy. Ooooh account inasoma, na kamwili kananona.
  4. Hatuagizwi na maboss, sisi wenyewe maboss. Tunalindwa na sir God pekee.
  5. Huwezi pangua mipango ya Mungu.
  6. Mimi sio mbaya wako, nisikilize.
  7. Usijiumize, huwezi kushindana na moyo wako.
  8. Alipofika panatosha, hata na mzigo mzito wa mapenzi ameutua amepumzika.

Maneno ya Kupost WhatsApp Kutoka kwa Nyimbo za Jux

  1. Bora ni Enjoy, maisha mafupi ni simple.
  2. Yanini niteseke roho? Jiunge nami upoze koo.
  3. Kama kupenda bora nimpende mama yangu.
  4. Kama kupendwa mimi nitajipenda peke yangu.
  5. Toka ni date pesa, sa napendeza.
  6. Ooooh account inasoma, na kamwili kananona.
  7. Napenda nikilewa, nipande juu va meza.
  8. Hatuagizwi na maboss, sisi wenyewe maboss.
  9. Tunalindwa na sir God pekee.
  10. Huwezi pangua mipango ya Mungu.
  11. Mimi sio mbaya wako, nisikilize.
  12. Usijiumize, huwezi kushindana na moyo wako.
  13. Alipofika panatosha, ameutua amepumzika.
  14. Kwako sihemi.
  15. Umenipa nini? And I will love you.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *