Hii ni misemo ambayo inaweza kuhamasisha, kufundisha, na kuburudisha kutoka kwa nyimbo mbalimbali za msanii Diamond Platnumz.
Misemo ya Diamond Platnumz Kutoka kwa Nyimbo: Maneno ya Mapenzi
- “Unaemwita your baby, Kumbe nae ana baby, Ooh unaemwona kipenzi, Ni mshenzi hakupendi.”
- “Na nisipo kuona na raha nakosa, Situlii mpaka unikumbate darling.”
- “Oh baby mie mwenzako njiwa wa kufugwa, Oh baby vya chapuchapu vitanifuja, Oh baby mie wa pwani mzawa wa unguja, Oh baby penzi laini sitoi buja.”
- “Na moyo nimeshaweka kwako nanga.”
- “Umenizidi mahabibu shika vyema usukani, Twende taratibu.”
- “Yani tam tam kama pipi nakuita sweet, Ah lote lote fundi kwenye kwichikwichi.”
- “We ndo dereva, sio wa kukuacha oh.”
- “Mwenzako kukuacha siwezi.”
- “Hadithi kuja hadithi njoo utamu kolea, Mzenzenu huba liko kwa roho limeninogea.”
- “Tena me kwake ndo daktari nampa tiba halali, Wanaitaga sukari alamba haam.”
- “You’re my African beauty.”
- “Oh love is what I see, When I look into your eyes.”
- “Umenizidi mahabibu, Maana penzi kwa mzani.”
- “Baada Ya tuta baby Koleza gia.”
Misemo ya Diamond Platnumz Kutoka kwa Nyimbo: Misemo ya Maisha
- “Ama kweli mtihani, Mambo mengi duniani, Na mi stress siwezi.”
- “Maisha mafupi ni simple, Yanini niteseke roho.”
- “Kama kupenda, Bora nimpende mama yangu, Kama kupendwa mimi, Nitajipenda peke yangu.”
- “Kilichoniponza ufala, Kujiona simba kumbe swala, Kazama kwenye penzi uchwala, Badala ya kusaka miamala.”
- “Toka ni date pesa, Sa napendeza, Na tena naenjoy, Na wanangu ma homeboy, Ooooh account inasoma, Na kamwili kananona.”
- “Wanasema eti umeniroga (nikweli ila inawahusu nini?), Hunipendi unanichuna (nikweli ila inawahusu nini?), Eti wanasema wewe ni kicheche (nikweli ila inawahusu nini?), Utanichezea kesho uniache (nikweli ila inawahusu nini?).”
- “Aliumba ardhi akaumba mbingu, Akaumba mbaramwezi kaumba nafsi, Kaumba wivu, Akayaumba na mapenzi na kukuacha sidhani.”
- “Penzi halijali umasikini, Laweza penda mtu yoyote.”
- “Penzi sio somo, Ukasome kwa kitabu.”
- “Hivo asiyekupenda, Achana naye, Anayekupenda, Pendana naye.”
- “Mchepuko leo nae kasalitiwa, Mke wa mtu sumu kuna maziwa.”
- “Wanasemaga mapenzi safari, Unavyopita ndo jinsi unajongea, Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea.”
- “Niliposikiaga Habari, Yakisifika nikakesha nangojea, Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea.”
- “Kumbe mapenzi hayataki haraka, Ni kama tango natia tu chumvi.”
- “Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki, Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki.”
- “Moyo ukanambia Nasibu sasa mapenzi basi, Ila nang’ang’ania najaribu kuipinga nafsi.”
- “Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie, Nikajitia ukamanda yatakwisha, Wacha nivumilie.”
- “Kila kiza kikitanda, Ndo visa machozi me nilie.”
- “Penzi yakatia parapanda, Kuwaita waje washambulie.”
Misemo ya Diamond Platnumz Kutoka kwa Nyimbo: Misemo ya Kutia Moyo
- “Bora ni Enjoy.”
- “Jiunge nami upoze koo.”
- “Ai nasema bora.”
- “Amina, dua zimeitikiwa.”
- “Mtasubiri sana, mtasubi.”
- “Mtasubiri sana, mtasubi (vuteni kiti mkae).”
- “Poleni, poleni, Nawapa wote poleni, Nawatakia poleni, Nawasalia poleni, Mlioachwa (poleni), Mnaodai (poleni), Msio na baby (poleni), Mkakojoe (kalaleni).”
- “Komando, komando, komando, Waambie sisi ndio vipensi, komando.”
- “We endelea kuzigida, utazilipa.”
- “Kwanza poleni, poleni, Nawapa wote poleni.”
- “Better be my ride or die.”
- “Eeeh! Mama kasema mwali mwana, Nimepata nitulie Simba, Oh nitulie Simba.”
- “Mwembamba mwenene, Uwe na pesa kama Dangote.”
- “Mambo stress, Ya nyumba ndani, Ebu cheza ufurahi.”
- “Baloba baseka oh, Baloba baseka oh nga nako lembe teh!”
- “Parfois l’amour est compliqué mais, Chérie à moi est toujours romantique.”
Maneno ya Kupost WhatsApp Kutoka kwa Nyimbo za Diamond Platnumz
- “Bora ni Enjoy.”
- “Maisha mafupi ni simple, Yanini niteseke roho.”
- “Kama kupenda, Bora nimpende mama yangu.”
- “Toka ni date pesa, Sa napendeza, Na tena naenjoy.”
- “Mtasubiri sana, mtasubi.”
- “Mtasubiri sana, mtasubi (vuteni kiti mkae).”
- “You’re my African beauty.”
- “Oh love is what I see, When I look into your eyes.”
- “Mambo stress, Ya nyumba ndani, Ebu cheza ufurahi.”
- “Anayekupenda, Pendana naye.”
- “We ndo dereva, sio wa kukuacha oh.”
- “Mwenzako kukuacha siwezi.”