Maneno haya yamenukuliwa moja kwa moja kutoka katika nyimbo za Jux.
Maneno ya Mapenzi kutoka kwa Nyimbo za Jux
- Kuhusu haya mapenzi, nataka kuvaeleza.
- Unaemwita your baby, kumbe nae ana baby.
- Ooh unaemwona kipenzi, ni mshenzi hakupendi.
- Sifa kibao nishasema, yote sababu nimezama.
- Uzuri wako ndo unazidi nipa homa.
- Wajua kwako mi mtoto tu, na jina lako nitachora tattoo.
- Ushanifit changu kiatu, wajua baby vile I love you.
- Ukamilishe uzima wangu, ukamilishe na nyumba yangu.
- Ukawe amani ya moyo wangu milele.
- We jela yangu nimejifunga mwenyewe.
- Mwenzako nimenogewa, hoi tahabani.
- Tena nakusihi, ulilinde penzi.
- Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe maswali.
- Baby nipe taratibu, huo utamu asali.
- Kwako nitangangana tuu, sababu I love you.
- Mimi na wewe, tungejuana zamani.
- Upendo wako umenifaa, uwepo wako umetawala.
- Hakuna anayezidi kwako mama, nguvu ya mapenzi yako balaa.
Misemo ya Maisha kutoka kwa Nyimbo za Jux
- Bora ni Enjoy, maisha mafupi ni simple.
- Yanini niteseke roho, jiunge nami upoze koo.
- Kama kupenda bora nimpende mama yangu.
- Kama kupendwa mimi nitajipenda peke yangu.
- Kilichoniponza ufalaa, kujiona simba kumbe swalaaa.
- Kazama kwenye penzi uchwalaaa, badala ya kusaka miamalaaa.
- Toka ni date pesa, sa napendeza na tena naenjoy.
- Ooooh account inasoma, na kamwili kananona.
- Nasema bora ni Enjoy, maisha mafupi ni simple.
- Napenda nikilewa, nipande juu va meza.
- Hatuagizwi na maboss, sisi wenyewe maboss.
- Wanatuombea mikosi, tunalindwa na sir God pekee.
- Wanasema roho mbaya kweli ninayo, nafanya makusudi kushinda hizo chuki zao.
- Na hainipi shida riziki hawatoi wao.
- Huwezi pangua mipango ya Mungu.
- Na hao marafiki wanafiki tunaishi nao.
- Wanachuki kama labda tunaishi kwao.
- Wanashindwa kurithi nyumba na mali za baba zao, cha kushangaza wanarithi tabia za dada zao.
- Night ikue special surround sound movie loud.
- My mission is to always stay true, live to see my dreams come true with you.
Misemo ya Kutia Moyo kutoka kwa Nyimbo za Jux
- Bora ni enjoy, maisha mafupi ni simple. Yanini niteseke roho.
- Bora nimpende mama yangu, kama kupenda. Nitajipenda peke yangu, kama kupendwa.
- Toka ni date pesa, sa napendeza na tena naenjoy. Ooooh account inasoma, na kamwili kananona.
- Hatuagizwi na maboss, sisi wenyewe maboss. Tunalindwa na sir God pekee.
- Huwezi pangua mipango ya Mungu.
- Mimi sio mbaya wako, nisikilize.
- Usijiumize, huwezi kushindana na moyo wako.
- Alipofika panatosha, hata na mzigo mzito wa mapenzi ameutua amepumzika.
Maneno ya Kupost WhatsApp Kutoka kwa Nyimbo za Jux
- Bora ni Enjoy, maisha mafupi ni simple.
- Yanini niteseke roho? Jiunge nami upoze koo.
- Kama kupenda bora nimpende mama yangu.
- Kama kupendwa mimi nitajipenda peke yangu.
- Toka ni date pesa, sa napendeza.
- Ooooh account inasoma, na kamwili kananona.
- Napenda nikilewa, nipande juu va meza.
- Hatuagizwi na maboss, sisi wenyewe maboss.
- Tunalindwa na sir God pekee.
- Huwezi pangua mipango ya Mungu.
- Mimi sio mbaya wako, nisikilize.
- Usijiumize, huwezi kushindana na moyo wako.
- Alipofika panatosha, ameutua amepumzika.
- Kwako sihemi.
- Umenipa nini? And I will love you.