Hapa utapata misemo ya Mbosso kutoka kwa nyimbo zake kuhusu mapenzi, maisha na hata ya kutia moyo.
Maneno ya Mapenzi kutoka kwa Nyimbo za Mbosso
- Kwake nimelewa kama wine.
- Penzi twadalikana poo kidali.
- Penzi letu baiskeli kaa bomba la mbele.
- Penzi zito tani, napewa raha kupitiliza.
- Penzi lako la ajabu, mahaba yake ya ajabu.
- Penzi limenizidia, ni kubwa, nzito.
- Nimekipanda uani, kibustani cha uyoga.
- Tamu pendo wasitie sumu.
- Penzi chupa la balindi, tuligide baby hadi tulewe.
- Nimekusahau, nakumbuka tu lako jina.
Misemo ya Maisha kutoka kwa Nyimbo za Mbosso
- Mimi sina jinsi.
- Tajiri wa mbegu.
- Baba Mndenge mama Mzaramo.
- Mambo yote hadharani.
- Anataka nipite peku, Kunduchi juu anifikishe kwetu.
- Embu tamu ladha ya kitumbua, Rojo ya embe Kibada!
- Kama kuku twakimbizana.
- Mjini baba pesa fitina.
- Mimi ukanidharau, visenti haba mfuko umechina.
- Dunia ni saa mbovu mwana, usije ifatisha.
Misemo ya Kutia Moyo kutoka kwa Nyimbo za Mbosso
- Nipo salama hata usijali, nalishwa vitamu.
- Usikamate utawaita wazungu.
- Mungu kanipa nilichomuomba, Mashallah.
- Nitakulinda kwa kunuti, nitapigana jihadi, pendo liwe madhubuti.
- Nivumilie ipo siku tutapata, shida na dhiki zitakwisha baby.
- Kila jema lina maumivu, na kwenye waliopo tumo.
- Najipa matumaini nitafuute nisichoke, moyoni nikiamini kuwa Mungu ni wetu sote.
- Hata mate kinywani ya uchungu nayameza kwa tabu jamaa, maisha yangu mazingaombwe ya maajabu sana.
- Riziki mafungu mawili, kupata au kukosa.
- Baada ya dhiki mavuno.
Maneno ya Kupost WhatsApp Kutoka kwa Nyimbo za Mbosso
- Kila nikikaweka kwenye line.
- Kwake nimelewa kama wine.
- Ye sisimizi nami gegedu tuna gegeduana.
- Mwana nyuma umejaza kishindundu.
- Embu tamu ladha ya kitumbua.
- Hodari kunengua, miuno ya ushubwada.
- Katoto kamelainika kwala, kukapa ndizi banana.
- Salamu ulizo nitumia, zimenifikia.
- Nipo salama hata usijali.
- Penzi twadalikana poo kidali.
- Mimi sina gali.
- Nitapigana jihadi, pendo liwe madhubuti.
- Shida na dhiki zitakwisha baby.
- Kila jema lina maumivu.
- Penzi letu baby, yani mpaka kisogoni.