Maneno Matamu kutoka kwa Nyimbo za Nandy

Tunakuletea misemo hii ili kukupa maneno yenye nguvu na maana kutoka kwa Nandy.

Misemo ya Mapenzi kutoka kwa Nyimbo za Nandy

  1. Niko tuli baby, kama maji kwa mtungi.
  2. Nyonga buli baby, nivute niiishi nibaki kishungi.
  3. Zuri baby, nibandike nigande ka gundi.
  4. Maakuli baby, nilishe nishibe kitumbo ndindi.
  5. Unanikoleza, unanichombeza, unanilegeza ai wee.
  6. Ukianzaga ndani unayaweza kitandani.
  7. Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee.
  8. Nakupenda, nakuwaza, forever you are, my boo boo.
  9. Unipende nikupende we.
  10. Nimekuzoea, nimekuzoea, nime nime nime nimekuzoea.
  11. Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea.
  12. Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena.
  13. Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea.
  14. Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena.
  15. Nipo katikati nazungukwa na upendo, sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo.
  16. Penzi kidani nitunzie.
  17. Nakesha popo, kulinda vidanga visiibie.
  18. Nadeka mwali, ka mtoto, nidekeze mie, baikoko.
  19. Mi wa halali, chanda chema mie.
  20. Wanichanganya changanya, changanya wanikosha roho wouwo.
  21. Mapenzi ya moyoni mwangu joto baridi, yanapeta kwenye hali kaidi.
  22. Oh my, ona ukinigusa navyo feel shy, wa utamu na mizuka ya mapenzi haya.
  23. Oh my, tena usijaribu mi nita-die, kunichezea kuniacha hio kitu mbaya.
  24. See I got all the eyes for you, and I wanna put my hands on you.
  25. Me I cannot do anything bad to you, but I can do anything bad for you.
  26. Nishakupa weh one number, weh one number.
  27. Only you I need you right now.
  28. Nibebe kwenye tenga, mana mapenzi yako yana nielemea.
  29. Penzi limesimama we kidedea, mpaka raha unavyo nipea.
  30. Basi nifanye kitu na boxy, usiku nipe shoti, ama nishike magoti.
  31. Raha… raha tupu kupendana na wewe raha tupu.
  32. Mi mwenzako nakupenda nafurahi.
  33. Nivike Pete ya roho isiyotoka.
  34. Ubavu wangu mwenyewe, ukifa nizikwe na wewe, nikifa uzikwe na mie.
  35. Raha… raha tupu kupendana na wewe raha tupu.

Misemo ya Maisha kutoka kwa Nyimbo za Nandy

  1. Usije moto kuzima, mwenzako nishawasha ah leo leo.
  2. Ulienipa maumivu me kama nyang’au, na tena maumivu dawa ninywe vidonge.
  3. Kwa marafiki mashosti ukannidharau, ukanitia uvivu stress niwe mnyonge.
  4. Leo sina thamani ndo maana, unawafata milupo oh baba.
  5. Nitapona mdogo mdogo nitapona.
  6. Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi.
  7. Hata zawadi nikikuretea ausemi asante.
  8. Tena na share hata bila kujua wewe uridhiki kwa nini.
  9. Na wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze.
  10. Kwangu moyo we unauchanganya.
  11. Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba we.
  12. Kitu gani kwako mi sijafanya.
  13. Ama kuna mtu mnapendana sana?
  14. Leo sina thamani ndo maana, unawafata masista du oh baba.
  15. Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa.
  16. Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa.
  17. Bila wee me siwezi.
  18. Unanifanya mi nalewa sana, haipiti siku bila kugombana.
  19. Mapenzi yako ya kibabe sana, malumbano ya mapenzi siyawezi.
  20. Kuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga ngana, mapenzi gani haya kutesana.
  21. Wasi wasi wa mapenzi.
  22. Ivi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu.
  23. Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi.
  24. Kumbe kuachwa inaumaga ivii.
  25. Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka, kumbe kuachwa ina umaga ivii.
  26. Umeniumbua bora niseme, kiapo nilicho kula bora nikiteme.
  27. Mapenzi shikamo sirudii tena.
  28. Umepatwa na nini si useme, kinachokufanya we uniteme, mapenzi shikamo sirudiii tena.
  29. Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa.
  30. Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa.
  31. Bila wee me siwezi.
  32. Kaniweza mimi mi kwake muoga kunguru nifanyeje ajue.
  33. Ntakufa mimi baby roho yangu inusuru nifanyeje ujue.
  34. Mwenzenu nampenda nampenda sana akiniacha mnizike mje mnizike.
  35. Ajue mapema mapema sana akiniacha mnizike.
  36. Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele, pale mambo yanapoonekana hayaendi.
  37. Ni ajabu sana namna moyo unahangaika.
  38. Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba.
  39. Japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda na hofu.
    1. Nakumbuka wana wa Israel katika bahari ya SHAMU.
  40. Yana nitoka macho, nikikuona kwa mbali, nakosa usingizi, usipokuwepo silali.
  41. Nafuata ulichonacho, sijafuata salary, utanifanya chizie kama utakwenda mbali.
  42. Maana napokuona weee napona napona napona.
  43. Nikipata penzi lako wewe napona napona ooh napona.

Misemo ya Kutia Moyo kutoka kwa Nyimbo za Nandy

  1. Nitapona mdogo mdogo nitapona.
  2. Nikumbushe wema wako nisije laumu.
  3. Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu.
  4. Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu.
  5. Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi.
  6. Yesu nakutazama ninakuamini wewe, fungua maisha yangu, nisaidie nisilalamike.
  7. Mbele zako, katika hali zote nijue upo, umesema hutaniacha eeh Yahweh.
  8. Na tena siku hizi nanenepa nanawiri, yamenoga mapenzi na yameshamiri.
  9. Nyumbani kumenoga hunipoza mwili.
  10. Kanipa sikio, ananisikiliza, malumbano ndani hana.
  11. Nimepitisha fagio na hawezi kuniliza, mashindano ndani hana.

Nandy Maneno ya WhatsApp Status Kutoka kwa Nyimbo

  1. Niko tuli baby, kama maji kwa mtungi.
  2. Nakupenda, nakuwaza, forever you are, my boo boo.
  3. Nimekuzoea, nimekuzoea, nime nime nime nimekuzoea.
  4. Wanichanganya changanya, changanya wanikosha roho wouwo.
  5. Usije moto kuzima, mwenzako nishawasha ah leo leo.
  6. Nitapona mdogo mdogo nitapona.
  7. Bila wee me siwezi.
  8. Mwenzenu nampenda nampenda sana akiniacha mnizike mje mnizike.
  9. Raha… raha tupu kupendana na wewe raha tupu.
  10. Nikumbushe wema wako nisije laumu.
  11. Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi.
  12. Yesu nakutazama ninakuamini wewe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *