Maneno Matamu Kutoka Kwa Nyimbo Za Rayvanny

Hapa tumekuchambulia baadhi ya misemo hiyo kutoka katika nyimbo za Rayvanny, iliyo katika makundi tofauti kama misemo ya mapenzi, misemo ya maisha, na hata misemo ya kutia moyo.

Misemo ya Mapenzi Kutoka Kwa Nyimbo za Rayvanny

Hii ni misemo inayoeleza hisia za mapenzi na mahaba, iliyojaa utamu na mvuto kutoka katika nyimbo za Rayvanny.

  1. “Mrembo wa sura hadi tabia.”
  2. “Nina kila sababu ya kujivunia iyee. Yaani kila kona umetimia.”
  3. “Napenda manukato ukinukia. Ukinigusa ndo nazimia iyee.”
  4. “Yaani kama ndege na wanae, tuogelee na tupae. Kwenye kiota tukakae mi nawe.”
  5. “Uje nikubebe washangae. Wenye uchungu wakazae. Tukicheza कुछ कुछ naहोता है mi nawe.”
  6. “Una guu la beer wala huna fito. Chuchu zako hunitoa majicho. Hata uvae gunia bado uko simple. Unapendeza.”
  7. “Shape sinia, kiuno kijiko. Chumbani wanipa madiko diko. Ukifungua koki yaani ni mafuriko. Umeniweza.”
  8. “Sabes bem que tu és a única metade de mim. Metade de mim.”
  9. “És destaque de todas as rosas que tem no jardim. No jardim.”
  10. “Essa forma você é louca. Me deixa com água na boca.”
  11. “És a tal choco-choco que me tocou. A mamacita que me tombolou. Que me tombolou.”
  12. “Utamu wa asali. Najilamba lamba tu.”
  13. “Nakukupoteza mi sidhani.”
  14. “Twende Zanzibari. Kwenye marashi ya karafuu.”
  15. “Nampenda. Bila yeye, mi siwezi.”
  16. “Fundi wa Raha zangu (Anajijua). Kiboko yangu (Anajijua).”
  17. “Yule nina mpenda sana (Anajijua). Roho yangu (Anajijua). Mwenye moyo wangu (Anajijua).”
  18. “You are so mwaaa, you are so cute. Kwako nime wehuka kabisa chizi.”
  19. “You’re forever be my always aya yeh. Cake of my birthday aya ye. Director of my always, baby you turn Thursday to be holiday.”

Misemo ya Maisha Kutoka Kwa Nyimbo za Rayvanny

Hii ni misemo inayogusa maisha ya kila siku, changamoto na furaha zake, kutoka katika nyimbo za Rayvanny.

  1. “Sifa kwa Mola wangu Maulana kwa mengi aliofanya. Hadi mi na we kukutana, kisura.”
  2. “Sijapanga kudanganya, ntasema ukweli mama. Kisa nakupenda sana, kisura.”
  3. “Umesema wanipenda ila maisha yangu maseke. Michicha, milenda ndo menyu yangu, na ya kuku mateke.”
  4. “Yaani chenga, kila siku kilio sa lini nicheke? Sina tenda, ugali Buguruni, mboga Temeke.”
  5. “Nafurahi umeniridhia niwe na wewe kimwali. Maisha yangu mitihani isoisha maswali.”
  6. “Ukifika nyumbani vumilia maana hali sio swali. Asubuhi mchana pakavu, jioni ndo kula futali.”
  7. “Tena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga. Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda.”
  8. “Mtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kariri vichochoro. Ghetto namkeka tu hakuna kitanda, shuka wala godoro.”
  9. “Hekaheka hakuna kibatari ndani giza totoro. Mvua ikinyesha nyumba inageuka ka boti ya Comoro.”
  10. “Mimi bado, ndo kwanza nimepanga. Bado, sina hata kiwanja. Bado, kulipa kodi majanga.”
  11. “Wenye wivu wasijinyonge, ila wapigwe shoti wafe.”
  12. “King’asti wangu yuko hapa hapa, usinishike bega niache.”

Misemo ya Kutia Moyo Kutoka Kwa Nyimbo za Rayvanny

Hii ni misemo inayotoa hamasa na kutia moyo katika nyakati tofauti za maisha, kutoka katika nyimbo za Rayvanny.

  1. “Mmmh, namshukuru Mola kanijalia.”
  2. “Nina kila sababu ya kujivunia.”
  3. “Kwanza tuanze rangi yake. Ah! Jamani ipo mwake.”
  4. “Kisha tuje kwenye umbo lake ah! Hapo lazima udate.”
  5. “Maana mtoto kanawiri. Jaama. Kumuacha uwe jasiri. Saana. Nimeshindwa kuwa bahiri. Mama.”
  6. “We nichune hadi kandambili. Sawa.”
  7. “Usidate na njonjo za mapenzi. Vicheko bandia usoni kudeka kumbe ana pretend-i.”
  8. “Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi. ‘Baby me I like that’.”
  9. “Unaibiwa, unaibiwa.”
  10. “Usije kuyavamia yasije yakakutesa hawachelewagi kukimbia.”
  11. “Hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali.”
  12. “Suala la nyumba na gari mimi, bado, mi bado, mi bado. Ndo kwanza nimepanga.”

Rayvanny Maneno ya WhatsApp Status Kutoka kwa Nyimbo

Hii ni misemo mifupi na yenye nguvu inayofaa kwa kuweka kwenye status yako ya WhatsApp, yote kutoka katika nyimbo za Rayvanny.

  1. “Katoto kamenoga.”
  2. “Nakapa ndizi za Bukoba.”
  3. “Nakapadisha bodaboda.”
  4. “Kakichoka kuchuma mboga.”
  5. “Cheza shogoloza.”
  6. “You make my mind go kolo.”
  7. “Ukinuna tu mie doro.”
  8. “Miuno ya gigi gigi.”
  9. “Funga kibindo mkwiji kwiji.”
  10. “Kichaa kime-kime-kimepanda.”
  11. “Amewehuka.”
  12. “Kapandisha mizuka.”
  13. “Ana ruka ruka.”
  14. “Leo nawatambulisha. Mliokuwa hamjui. Hapa ndo nimetika mwenzenu. Shemeji yenu huyo.”
  15. “Ye ndo tiba ya mwili. Mama. Anituliza akili. Jama.”
  16. “Ma Ex mtasubiri. Sanaaa. Kumuacha sitikiriii. Oh oh.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *