Harmonize: Maneno Matamu Kutoka kwa Nyimbo Zake

Karibu katika mkusanyiko wa misemo ya Harmonize kutoka kwa nyimbo zake.

Maneno ya Mapenzi Kutoka kwa Nyimbo za Harmonize

Hii ni misemo ya Harmonize kutoka kwa nyimbo zake inayohusu mapenzi:

  1. Na mwanamke hapigwi na ngumi.
  2. Mapenzi sio League, nikakubali kushindwa.
  3. Mbona nilikuthamini, mengi nikakusevia.
  4. Hukumbuki tulipotokea?
  5. Sito-force unipende.
  6. Moyo wenye matamanio, na unapenda pia.
  7. Usiwaamini ukishawapa wanakwenda.
  8. Story za mapenzi, mfano wakwanza ni wewe.
  9. Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani?

Misemo ya Maisha Kutoka kwa Nyimbo za Harmonize

Hii ni misemo ya Harmonize kutoka kwa nyimbo zake inayohusu maisha:

  1. Kazi kazi macho kwa mikwanja.
  2. Ukipendwa safi, ukiachwa mbaya iyoo!
  3. Ukipata noti safi, ukifilisika mbaya iyoo!
  4. Na mikopo safi, ila kulipa mbaya iyoo!
  5. Bora ugali dagaa kwenye amani, kuliko wali nyama vitani.
  6. Mateso vitimbwi kurupushani.
  7. Mungu alonipa ukilema hawezi nunyima mwendo.
  8. Sikupanga kulivua pendo.

Misemo ya Kutia Moyo Kutoka kwa Nyimbo za Harmonize

Hii ni misemo ya Harmonize kutoka kwa nyimbo zake inayotia moyo:

  1. Bwana asifiwe. Ameen. Milele na milele. Ameen.
  2. Konde boy call me number 1!
  3. We kubali kudharauliwa, kukataliwa, kupata majaliwa.
  4. Raha jipe mwenyewe.
  5. Anaekupenda zaidi ni wewe.
  6. Ata anaekujua zaidi ni wewe.
  7. Asie na shida nawe mwache aende zake.
  8. Kaza moyo epusha roho yakusita.
  9. Umezaliwa peke yako, utakufa peke yako.
  10. Komaa.
  11. Mola aliniumba na subira, imani pekee ngao yangu.

Harmonize Maneno ya WhatsApp Status Kutoka kwa Nyimbo za Harmonize

Hii ni misemo ya kupost kama WhatsApp Status kutoka kwenye nyimbo za Harmonize:

  1. Kazi kazi macho kwa mikwanja.
  2. Ukipendwa safi, ukiachwa mbaya iyoo!
  3. Ukipata noti safi, ukifilisika mbaya iyoo!
  4. Na mikopo safi, ila kulipa mbaya iyoo!
  5. Bora ugali dagaa kwenye amani.
  6. Mateso vitimbwi kurupushani.
  7. Sito-force unipende.
  8. Hukumbuki tulipotokea?
  9. Raha jipe mwenyewe.
  10. Anaekupenda zaidi ni wewe.
  11. Komaa.
  12. Imani pekee ngao yangu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *