Kama uko na mpenzi ni vyema kumkubusha kila siku vile unampenda na kumthamini. Ukifanya hivyo utaimarisha mapenzi yenu na kuongeza fursa ya uhusiano wenu kudumu. Katika nakala hii, tumekupa jumbe za kumtumia huyo mvulana wako na kumwambia kuwa unampenda.
Jumbe za mapenzi kwa boyfriend
Unafanya moyo wangu kuwa na furaha. Niko na bahati kuwa nawe kila siku.
Kukufikiria tu inafanya siku yangu kuwa na mwanga.
Kila dakika nikiwa nawe naendelea kukupenda zaidi.
Wewe ni sehemu bora ya maisha yangu, siwezi kukubadilisha kwa chochote kile.
Ninakupenda kwa sababu unajua jinsi ya kunifanya niwe bora.
Unanifanya kama mtu aliye na bahati kubwa maishani.
Siwezi kungoja kuona nini maisha imetuandalia katika siku zijazo.

Napenda salamu zako lakini nachukia kwaheri zako.
Asante kwa kuwa kando yangu. Ninakupenda sana.
Napenda vile tunaweza ongea kwa muda mrefu bila kukosa kitu cha kuongea.
Unafanya kila kitu maishani mwangu kiwe cha kupendeza sana.
Ninashukuru kwa kuwa nawe katika maisha yangu. Unamaanisha kila kitu kwangu.
Ninakupenda kuliko vile maneno yanaweza kusema.
Wewe ni mwamba wangu, pahali pangu salamu na mpenzi wangu mkubwa.
Nina fahari kubwa kukuita mpenzi wangu.
Unafanya moyo wangu upige kwa kasi kwa njia bora zaidi.
Ninapenda vile tunaweza kufanya vitu za kiujinga pamoja kwa furaha.
Wewe ni mtu ambaye ninataka kuishi naye daima.
Ninakushukuru mwa upendo na msaada unayonipatia.
Siwezi fikiria maisha bila wewe.
Unanifanya nihisi kupendwa na kukubaliwa.
Ninapenda vile unavyonitazama kama kwamba ni mimi pekee katika dunia hii.
Wewe ni mpenzi wa maisha yangu, na sitaki ikuwe vinginevyo.
Asante kwa kuwa unanifanya wa kipekee.
Ukiwa nami unafanya maisha yangu yajazwe na mwanga.
Napenda vile tunaweza kuwa sisi wenyewe wakati tuko pamoja.
Wewe ni rafiki yangu wa ndani na mpenzi wangu.
Ninakupenda kwa sababu unajua njia za kunifanya nicheke.
Unafanya moyo wangu ujaa na furaha sana.
Ninashukuru mbingu kwa kila dakika tunapokuwa pamoja.
Wewe ndiye ninayetaka kuzeeka naye.

Ninapenda vile tunaweza elewana hata bila kuongea.
Unanifanya nihisi kupendwa na kujaliwa.
Ninakupenda vile unayofanya wakati wetu pamoja unakuwa wa kipekee.
Wewe ndiye ninayetaka kushiriki matumaini na ndoto zangu.
Ninashukuru kwa upendo ambao umenipatia.
Unafanya moyo wangu uruke mpigo kila wakati ninapokuona.
Ninapenda jinsi unayonifanya nihisi kupendwa wakati wangu wa shida.
Wewe ni kila kitu kwatu, na nakupenda kuliko chochote.
Ninakupenda vile unanifanya nihisi salama.
Wewe ndiye kitu bora ambacho kimewahi tokea kwa maisha yangu.
Ninashukuru kwa kuwa nawe kando yangu.
Unanifanya nihisi kana kwamba naweza shinda dunia.
Napenda vile tunaweza ongea kila kitu bila aibu.
Niko na fahari kukuita my boyfriend.
Wewe ni tamaa ya moyo wangu, niko na bahati kuwa nawe.
Nakupenda kuliko kila kitu, na nitaendelea kukupenda hivo.
Kila wakati nikiwa nawe ni kama ndoto ambayo sitaki kuacha kuota. Asante kwa kuwa mpenzi wangu.
Muda fulani naacha kufikiria mambo mengine na kuwaza tu juu yako.
Siwezi fikiria maisha bila wewe, unanikamilisha.
Katika siku ya mawingu mazito wewe ni mwanga wangu wa jua.
Ninakupenda tena na tena kila wakati ninapokuona.
Unakuwa jambo la kwanza kufikiria kabla ya kuamka na jambo la mwisho kabla ya kulala.