Kumtakia mpenzi wako usiku mwema ni moja ya njia bora ya kumuonyesha upendo. Katika nakala hii tumekusanya SMS nzuri za mahaba usiku unazoweza kumtumia mpenzi wako.
SMS za mahaba usiku
Usiku mwema mpenzi wangu. Ndoto zako ziwe za kupendeza kama wakati tunapokuwa pamoja.
Unapofunga macho usiku wa leo, jua kuwa wewe ndio kitu cha mwisho ninachofikiria kabla ya mimi kuenda kulala. Kuwa na usiku mwema mpenzi.
Usiku wa leo ni mtulivu lakini moyo wangu unapiga kwa ajili yako. Kuwa na usiku mtulivu mpenzi.
Natamani ningekuwa hapo nikushike mikononi mwangu unapolala. Hadi hiyo siku ifike kuwa na usiku mwema.
Ninakuota kila usiku. Kuwa na usiku mzuri, darling.
Kila nyota angani inanikumbusha macho yako yanayopendeza. Lala vizuri, mpenzi.
Usiku ni wa giza, lakini mapenzi yako ni mwanga unaoniongoza. Usiku mwema, mpenzi wangu.
Ndoto zako zijazwe na upendo, raha na kila kitu kitachokufanya ukuwe na furaha. Usiku mwema mpenzi.
Siwezi ongoja kuamka kesho nikupende zaidi. Kuwa na usiku mwema mpenzi.
Hata kama hatuko pamoja, utakuwa daima kwa moyo wangu. Usiku mwema mpenzi.

Sehemu bora ya usiku wangu ni wakati ninakuota. Usiku mwema.
Usiku wa leo ukupatie amani na ndoto zako zikuleta pamoja nami. Usiku mwema, mpenzi wangu.
Unapofunga macho yako, tambua kuwa wewe ni sababu ya kutabasamu kwangu kila siku. Usiku mwema, mpenzi.
Mwanga wa mwezi usiku wa leo hauwezi fikia mapenzi niliyonayo kwako. Kuwa na usiku mwema.
Nakutakia usiku unaopendeza kama vile unavyopendeza. Ndoto njema, mpenzi.
Ninakumiss sana usiku ukifika, lakini ninapotambua kuwa wewe ni wangu ninapata utulivu. Kuwa na usiku mwema.
Usiku wote nitakuwa nikikuota. Usiku mzuri, mpenzi.
Usiku ukupumzishe na asubuhi itulete pamoja. Ndoto njema, mpenzi.
Usiku ni mrefu, lakini mapenzi yangu kwako hayana mwisho. Usiku mwema, mpenzi.
Unapofunga macho jua kuwa wewe ndio sababu ya tabasamu yangu. Usiku mwema, mpenzi.
Unapolala jua kuwa wewe ni mpenzi wangu daima. Usiku, mwema mpenzi.
Kila usiku nashukuru mbingu kwa kukuleta kwa maisha yangu. Kuwa na usiku mwema mpenzi.
Natamani ningekubusu na kukwambia usiku mwema, lakini nadhani kuwa hii mseji imetosha.
Mapenzi yako ni kama ndoto ambayo sitaki niache kuota. Usiku mwema, mpenzi.
Ndoto zako ziwe za amani kama vile mapenzi unayonipa. Kuwa na usiku mwema, mpenzi.
Usiku umetulia kama vile mapenzi unayonipa. Lala vizuri, mpenzi.
Hata kama ni ndoto, wewe ni mpenzi wangu. Lala vizuri, mpenzi.
Siwezi ongoja kukushikilia mikononi mwangu katika ndoto zangu. Kuwa na usiku mwema.
Nakutakia usiku uliojaa ndoto nzuri na moyo uliojaa mapenzi. Lala viizuri, mpenzi.
Vile usiku unapoingia jua kuwa mapenzi yangu kwako yanaongezeka. Kuwa na usiku mwema.

Ninakumiss kila usiku, naongoja sana tukutane. Kuwa na usiku mwema.
Usiku ukuwe na ukarimu kwako na upate ndoto njema. Lala vizuri, mpenzi.
Unafanya usiku wangu kung’aa na ndoto zangu ziwe tamu. Kuwa na usiku mwema.
Nyota za leo ziko na wivu kwa sababu ya urembo wako. Kuwa na usiku mwema.
Ninakupenda kuliko vile mwezi unapopenda usiku. Lala vizuri, mpenzi.
Usiku wa leo ni mtulivu lakini moyo wangu unaimba upendo wako. Lala unono.
Usiku hukupe amani na ndoto zako zijazwe na upendo. Kuwa na usiku mwema.
Nasikia nina furaha leo kwa sababu nitakuota leo usiku. Kuwa na usiku mwema.
Kadri vile usiku unapoingia, mapenzi yangu kwako yanaongezeka. Usiku mwema, mpenzi.
Nyota zikuelekeza kwa ndoto nzuri zinazojaa mapenzi yetu.Kuwa na usiku mwema.
Usiku unaweza kututenganisha, lakini mapenzi yangu kwako hayajui umbali huo. Kuwa na usiku mwema.
Natamani ningekuwa mto ambao umeulalia. Kuwa na usiku mwema, mpenzi.
Hata mwezi uko na wivu kwa upendo ambao ninao kwako. Kuwa na usiku mzuri.
Vile unaenda kulala, jua kuwa moyo wangu utakuwa na wewe daima. Usiku mwema mpenzi.
Ndoto zako ziwe tamu kama vile mapenzi ambayo unayonipa. Usiku mwema, mpenzi.
Usiku unaenza kuwa mrefu lakini mapenzi yangu kwako hayana kikomo. Usiku mwema, mpenzi.
Nakutakia usiku wa amani na ndoto zilizojaa na mapenzi. Lala vizuri, mpenzi.
Nyota haziwezi fikia mwanga wa macho yako. Ndoto njema, mpenzi.
Kila usiku nalala nawe moyoni mwangu. Usiku mwema, mpenzi.
Usiku mwema, mpenzi. Natarajia siku amabayo nitakutakia usiku mzuri uso kwa uso.